Nchi 6 zisizo na bahari zimeizunguka Tanzania; (Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (“DRC”), Uganda, Rwanda, Burundi, Zambia na Malawi), ambazo zinategemea Tanzania kama sehemu yenye ufanisi zaidi ya kupitisha bidhaa. Sekta ya uchukuzi nchini Tanzania ilichangia asilimia 7.6 katika Pato la Taifa mwaka 2022. Vichochezi vya ukuaji wa uchumi ni pamoja na kuongezeka kwa idadi ya abiria wanaobebwa na mizigo inayobebwa kupitia usafiri wa barabarani.
Je, tunaweza kukufanyia nini zaidi?
Kwa kila biashara kuna changamoto, maelezo yaliyo hapa chini yatakuongoza na suluhisho zote zitakazo tumika zinatolewa na Powercomputers kwa tasnia yako ya biashara.
Powercomputers, tuna uhakika kwamba usaidizi wetu wa Tehama na suluhisho za usimamizi wa teknolojia ya biashara zinaweza kuongeza tija na ufanisi wa kampuni yako.
Biashara zote nchini Tanzania zina fahamu faida zinazo tutofautisha na ushindani, ikiwa ni pamoja na huduma isiyo na kifani kwa wateja wetu, na mafundi bora wa Tehama.